Our Clubs.

...

Saturday, June 30, 2018

Nataka kua zaidi ya Master Mfaume....Mustafa H. Mpala.

Kijana mwenye malengo mengi sana katika mchezo wa Wushu hapa nchini,
moja ya tegeti yake kuja kua mwalimu mahiri na mwenye uwezo wa juu zaidi kama Master Mfaume au zaidi,
je nikitugani kilicho mfanya atupe jicho kwa Master Mfaume,
Msikilize.....

Monday, June 11, 2018

Wushu Club, Dar es salaamKaribu katika klabu yetu.

WUSHU NI AFYA ULINZI NA BURUDANI.

Wushu for life.....

Friday, June 8, 2018

Mafunzo ya Wushu sehemu ya nne (wushu training)Hapa tutajifunzo Stensi tano za awali,

pia namna ya kuzitumia na namna ya kutembea nazo.

KARIBU TUJIFUNZE.

Kwa matokeo bora nilazima uwe na utaratibu wa kurudia somo lako mara kwa mara,
itazame video hii kwa umakini na rudia mara nyingi uwezavyo.

kwa msaada zaidi fika katika kituo cha mafunzo kilichopo karibu yako,
au wasiliana nami kwa...
WhatsApp/Call/Text
0788984028/0655326142.

Monday, June 4, 2018

Ona Wushu invyoweza kulitangaza taifa letu.Ukitazama video hii utaona umuhimu wa michezo katika sekta ya uchumi wa kila taifa Duniani kote.


Pia unaweza kutambua kwamba kuna kila sababu ya kuungwa mkono,
na kupewasapoti tena kwa kipaumbele kabisa katika mchezo wa Wushu hapa Tanzania,

kwani mchezo huu Haujawahi kufanya vibaya hata maramoja katika anga za kimataifa.

japo haupati fursa mara kwa mara katika kuliwakilisha taifa kutokana na kutopewa sapoti na wadau wa michezo hapa Tanzania.
WADAU GEUKIENI NA HUKU....

Tuesday, May 29, 2018

Saturday, May 26, 2018

Jifunze Kung fu orijino!Ni mtaalamu.

Mzoefu.
Mwenye juhudi.
Mbunifu katika ufundishaji.
Mvumilivu msaidivu na mwenye huruma.
Hakuna kama Master Mfaume, ni mwalimu wa wasiojua kutoka ziro hadi hero.
+255788984028 / +255655326142.
KUNG-FU NI AFYA ULINZI NA BURUDANI.
KARIBUNI SANA!

Wednesday, May 16, 2018

Mafunzo ya Wushu sehemu ya tatu (wushu training)Katika sehemu ya tatu ya darasa letu. tunajifunza namna ya kuanza kufanya mazoezi na mafunzo ya Kung-fu,

 na huu ndiyo mpangilio bora kwa matokeo bora na afya ya mwili wako
USISAHAU KU SUBSCRIB COMMENT SHARE.....

Tuesday, May 15, 2018

Shaolin Temple China,1st Shaolin Kungfu Class(2)Tunaendelea na sehemu ya pili katika mfululizo wa kuangalia mafunzo ya Kungfu  toka China.

Leo tutaona mafunzo ya ndani na nje ya temple.
Endelea....
NAKUKUMBUSHA KU SUBSCRIBE KU COMMENT KU SHARE KU LIKE.

Monday, May 14, 2018

1st Shaolin Kungfu ClassJionee mafunzo na mazoezi ya Kung fu tuliyo pitia huko China,

haikua rahisi kama wengi wanavyodhani,
leo tutaanza na mazoezi ya msituni kayika misitu ya  milima ya  Songshan iliyopo njekidogo ya Shaolin Temple...

NAKUKUMBUSHA KU SUBSCRIBE KU COMMENT KU SHARE KU LIKE.

Sunday, May 13, 2018

Raisi T.W.A. avunja ukimya anena mengi usiyo yajua ndani ya Wushu ya Tan...Mwarami Shaweji Mitete,

 Raisiwa  chama cha Wushu Tanzania,
Tanzania Wushu Association, (TWA).

Hapa akijaribu kusimulia mapito yake katika harakati zake,
kutoka mchezaji mwalimu na hadi raisi wa chama.

Itazame video hii ili kujua yanayo endelea miongoni mwa usiyoyajua kuhusu Wushu ya Tanzania.....

Usisahau kushea kulaik na ku subscribe channel ya YouTube ya Master Mfaume.

Thursday, May 3, 2018

Jionee Mtihani wa Kung Fu unavyokua(3)Hii ni sehemu ya mtihani uliyofanyika katika Klabu ya Mafia Shaolin Kungfu huko mjini Mfia.Mtihani huo uliiambatana na uzinduzi rasmi wa Klabuhiyo, 

katika hafla hiyo mgeni rasmi alikua mkuu wa wilaya ya Mafia na ilihudhuriwa na rais wa chama cha Wushu Tanzania (TWA)

Mwarami Mitete,

Makamu wa katibu, Mzee Sultani Upinde,

na afisa mipango Saidi Mfaume.

Monday, April 30, 2018

Jionee mtihani wa Kungfu unavyokua (2)Hii ni sehemu ya pili katika mfululizo wa mtihani ulioandaliwa na club ya Mafia Shaolin Kungfu.....

Sunday, April 29, 2018

''Huu ndiyo ubora wa Wushu' '- Shafii Omari.Anaitwa Shafii Omari.

Hapa akijaribu kutueleza kwa uchache yanayompendeza katika Wushu,
kipi kilimleta Shaolin Temple Tanzania Clubs.....