Our Clubs.

...

Tuesday, February 14, 2017

WAJUE WAASISI WA SHAOLIN TEMPLE TANZANIA:KNOW THE FOUNDERS OF SHAOLIN TEMPLE TANZANIA: /知道少林寺坦桑尼亚创始人

Shaolin Temple Tanzania, ime asisiwa na walimu wa nne wa kung fu hapa nchini, ambao walihitimu mafunzo ya Shaolin Kung Fu {tradition kung fu} huko nchini China katika ngazi ya diploma,katika chuo pekee duniani kote chenye historia ya mchezohuo kwa zaidi ya miaka elfu moja na miatano {1500}iliyo pita,sichengine bali ni SHAOLIN TEMPLE CHINA,

Shaolin Temple Tanzania, Is founded by the four teachers of kung fu in Tanzania, who were trained to Shaolin Kung Fu {tradition kung fu} In China at the level of diploma,in the only college in the World that illuminating the history of Kung fu,over the  one thousand and five hundred years ago {1500} not else but the SHAOLIN TEMPLE CHINA.
  Wa kwanza kutoka kulia ni Master Yusuph anapatikana kwa +255655204186,Dar na Mafia,

Wapili Master Mfaume anapatikana kwa +255655326142/+255785681680,Mombo na Lushoto Tanga na Kilwa mkoani Lindi, na Dar,


 watatu Master Maulidi anapatkana kwa +255656966931,Mlandizi Pwani,


Akifuatiwa na Master Uswege,anapatikana Gairo Morogoro.


              KARIBUNI SANA KATIKA VITUO VYETU VYA MAFUNZO.


The first from the right is the Master Yusuf is found to + 255655204186, Dar and Mafia,

The second Master Mfaume is found to + 255655326142 / + 255785681680, Mombo to Lushoto Tanga and Lindi Kilwa and Dar,

  Three Master Maulidi is found to + 255656966931, Mlandizi Coast

  and Master Uswege, he found Gairo Morogoro.

               VERY WELCOME IN OUR TRAINING FACILITIES.




Hapo juu wakiwa katika picha ya pamoja na katibu msaidizi wa Tanzania Wushu Association,TWA,
na Chancellor Liu ,wa ubalozi wa jamhuri ya watu wa China.



Above were in the picture with the assistant secretary of Tanzania Wushu Association, TWA, Mr.Upinde

and Chancellor Liu, the embassy of the peoples republic of China.








少林寺坦桑尼亚,由坦桑尼亚功夫的四位老师建立,他们接受了少林功夫(传统功夫)的训练。在中国文凭水平,在世界上唯一照亮了功夫历史的学院 ,在一千五百年前{1500}不是别的,而是沙洋寺中国。

从右边第一个是主优素福被发现+255655204186,达累斯萨拉姆和黑手党,

第二个主Mfaume他发现255655326142/255785681680,蒙博到Lushoto坦噶和林迪基卢瓦和达累斯萨拉姆,

 三主Maulidi是patkana至+255656966931,Mlandizi海岸

 最后一个是法师Uswege,他发现Gairo莫罗戈罗。

              很快,我们的培训设施。



下面分别与坦桑尼亚武术协会,TWA的助理国务卿图片,
和校长刘,中国人民共和国大使馆。


No comments:

Post a Comment