Our Clubs.
...
Monday, April 30, 2018
Jionee mtihani wa Kungfu unavyokua (2)
Hii ni sehemu ya pili katika mfululizo wa mtihani ulioandaliwa na club ya Mafia Shaolin Kungfu.....
Sunday, April 29, 2018
''Huu ndiyo ubora wa Wushu' '- Shafii Omari.
Anaitwa Shafii Omari.
Hapa akijaribu kutueleza kwa uchache yanayompendeza katika Wushu,
kipi kilimleta Shaolin Temple Tanzania Clubs.....
Tuesday, April 24, 2018
Mussa Saidi, na safaei ya Shaolin Temple.....
Ni mwanafunzi wa Dar es salaam Wushu Club,
Hpa akieleza namna alivyo kutana na Master Mfaume....
Mussa Saidi, na safaei ya Shaolin Temple.....
Ni mwanafunzi wa Dar es salaam Wushu Club,
Hpa akieleza namna alivyo kutana na Master Mfaume....
Monday, April 23, 2018
Mafia Shaolin Kungfu Club.
Vijana wa Klabu ya Kungfu ya Mafia wakiwa katika mafunzo,
mwanzoni mwa mwaka jana 2017.
Saturday, April 21, 2018
Jionee Mtihani wa Kung Fu unavyokua,.
Mafia shaolin Kungfu Club.
Mnamo tarehe 7/4/2018, iliandaa mtihani wa kwanza katika Klabu hiyo ya kungfu iliopo wilaya ya Mafia mkoa wa Pwani.
JIONEE MAMBO YALIVYOKUA...
Monday, April 16, 2018
Mafunzo ya Wushu sehemu ya pili.(wushu training)
Tunaendelea na darasa letu,
na huu ni muendelezo wa somoletu la Wushu.
Baada ya kuangalia Taolu leo tunaangalia Sanda.
Usikose kufatilia sehemu ya tatu katika muendelezo wa mafunzo ya Wushu,
NAKUKUMBUSHA KU SUBSCRIBE ILI UWE WAKWANZA KUPATA VIDEO MPYA.
Sunday, April 15, 2018
Raisi T.W.A. avunja ukimya anena mengi usiyoyajua ndani ya Wushu ya Tan...
Kutana naMwarami Mitete, ni raisi wa chama cha Wushu Tanzania,
Tanzania Wushu Association, (TWA).
Hapa akijaribu kukumbuka yaliyo mkuta katika harakati zake kutoka mchezaji mwalimu na hadi raisi wa chama.
na yanayo endelea miongoni mwa usiyo yajua kuhusu Wushu ya Tanzania.....
Subscribe to:
Posts (Atom)