Our Clubs.

...

Tuesday, May 29, 2018

Hii si yakukosa!



Ofa Ofa Ofa...!

Faidika na ofa ya kujiunga na kujifunza Wushu/Kungfu.

Saturday, May 26, 2018

Jifunze Kung fu orijino!



Ni mtaalamu.

Mzoefu.
Mwenye juhudi.
Mbunifu katika ufundishaji.
Mvumilivu msaidivu na mwenye huruma.
Hakuna kama Master Mfaume, ni mwalimu wa wasiojua kutoka ziro hadi hero.
+255788984028 / +255655326142.
KUNG-FU NI AFYA ULINZI NA BURUDANI.
KARIBUNI SANA!

Wednesday, May 16, 2018

Mafunzo ya Wushu sehemu ya tatu (wushu training)



Katika sehemu ya tatu ya darasa letu. tunajifunza namna ya kuanza kufanya mazoezi na mafunzo ya Kung-fu,

 na huu ndiyo mpangilio bora kwa matokeo bora na afya ya mwili wako
USISAHAU KU SUBSCRIB COMMENT SHARE.....

Tuesday, May 15, 2018

Shaolin Temple China,1st Shaolin Kungfu Class(2)



Tunaendelea na sehemu ya pili katika mfululizo wa kuangalia mafunzo ya Kungfu  toka China.

Leo tutaona mafunzo ya ndani na nje ya temple.
Endelea....
NAKUKUMBUSHA KU SUBSCRIBE KU COMMENT KU SHARE KU LIKE.

Monday, May 14, 2018

1st Shaolin Kungfu Class



Jionee mafunzo na mazoezi ya Kung fu tuliyo pitia huko China,

haikua rahisi kama wengi wanavyodhani,
leo tutaanza na mazoezi ya msituni kayika misitu ya  milima ya  Songshan iliyopo njekidogo ya Shaolin Temple...

NAKUKUMBUSHA KU SUBSCRIBE KU COMMENT KU SHARE KU LIKE.

Sunday, May 13, 2018

Raisi T.W.A. avunja ukimya anena mengi usiyo yajua ndani ya Wushu ya Tan...



Mwarami Shaweji Mitete,

 Raisiwa  chama cha Wushu Tanzania,
Tanzania Wushu Association, (TWA).

Hapa akijaribu kusimulia mapito yake katika harakati zake,
kutoka mchezaji mwalimu na hadi raisi wa chama.

Itazame video hii ili kujua yanayo endelea miongoni mwa usiyoyajua kuhusu Wushu ya Tanzania.....

Usisahau kushea kulaik na ku subscribe channel ya YouTube ya Master Mfaume.

Thursday, May 3, 2018

Jionee Mtihani wa Kung Fu unavyokua(3)



Hii ni sehemu ya mtihani uliyofanyika katika Klabu ya Mafia Shaolin Kungfu huko mjini Mfia.



Mtihani huo uliiambatana na uzinduzi rasmi wa Klabuhiyo, 

katika hafla hiyo mgeni rasmi alikua mkuu wa wilaya ya Mafia na ilihudhuriwa na rais wa chama cha Wushu Tanzania (TWA)

Mwarami Mitete,

Makamu wa katibu, Mzee Sultani Upinde,

na afisa mipango Saidi Mfaume.