Our Clubs.

...

Saturday, June 30, 2018

Nataka kua zaidi ya Master Mfaume....



Mustafa H. Mpala.

Kijana mwenye malengo mengi sana katika mchezo wa Wushu hapa nchini,
moja ya tegeti yake kuja kua mwalimu mahiri na mwenye uwezo wa juu zaidi kama Master Mfaume au zaidi,
je nikitugani kilicho mfanya atupe jicho kwa Master Mfaume,
Msikilize.....

Monday, June 11, 2018

Wushu Club, Dar es salaam



Karibu katika klabu yetu.

WUSHU NI AFYA ULINZI NA BURUDANI.

Wushu for life.....

Friday, June 8, 2018

Mafunzo ya Wushu sehemu ya nne (wushu training)



Hapa tutajifunzo Stensi tano za awali,

pia namna ya kuzitumia na namna ya kutembea nazo.

KARIBU TUJIFUNZE.

Kwa matokeo bora nilazima uwe na utaratibu wa kurudia somo lako mara kwa mara,
itazame video hii kwa umakini na rudia mara nyingi uwezavyo.

kwa msaada zaidi fika katika kituo cha mafunzo kilichopo karibu yako,
au wasiliana nami kwa...
WhatsApp/Call/Text
0788984028/0655326142.

Monday, June 4, 2018

Ona Wushu invyoweza kulitangaza taifa letu.



Ukitazama video hii utaona umuhimu wa michezo katika sekta ya uchumi wa kila taifa Duniani kote.


Pia unaweza kutambua kwamba kuna kila sababu ya kuungwa mkono,
na kupewasapoti tena kwa kipaumbele kabisa katika mchezo wa Wushu hapa Tanzania,

kwani mchezo huu Haujawahi kufanya vibaya hata maramoja katika anga za kimataifa.

japo haupati fursa mara kwa mara katika kuliwakilisha taifa kutokana na kutopewa sapoti na wadau wa michezo hapa Tanzania.
WADAU GEUKIENI NA HUKU....