Katibu wa chama hicho ndugu Gola Kapipi,
alisema,
napendatu kuwaambia wanachama wetu kua sikuzote maendeleo yanahitaji juhudi na uvumilivu,na sio kama wengi tunavyo dhani kwamba kufumba na kufumbua
hii ni mipango ya muda mrefu kiasi ambacho wengi walisha kata tamaa,lakini leo naomba waamini kua jambohili ninawezekana,na tunaomba tushirikiane kwa upendo wote na kwa moyo mmoja, ni kweli tumechelewa sana lakini hii yote ni kutokana na kukosa pesa za kukamilisha mradihuo kwa wakati tulioutaka,
na kama kuna kampuni au mtu binafsi ambae anaweza kutupa sapoti yoyote anakaribishwa,muda wowote kuanzia sasa,
pia nachukua nafasi hii kuwashukuru wale wote walio weza kutusaidia kwa namna moja ama nyengine,tuna waomba wazidi kutusapot kadri wawezavyo.
Katibu wa Chama cha Wushu Tanzania, Salehe Muhudini, Gola Kapipi.
picha ya chini akiwa na wachezaji na baadhi ya viongozi wa chama hicho,
wakiwa katika moja ya maonyesho ya
mchezo huo.
Tanzania Wushu Association, is in the verge of completing its plans to own a security company, the company will be modern and, although not always able to provide employment for its members,
Secretary of the party Gola Kapipi brother,
said,
after many years the dream of owning a security company, eventually those dreams tend to be completed soon,
I would just tell our members continually growing development requires effort and patience, and we are not as many think that the twinkling of an eye
This is planned for so long that many have given up, but today I ask the faithful grow this thing possible, and we ask cooperate with all the love and with one mind, it's really too late but all this is due to lack of funds to complete the project on time we want,
and if there is a company or individual who can give us any help is welcome, any time from now,
also I take this opportunity to thank all those who can help us in one way or another, we ask you to give us support may increase as much as they can.
坦桑尼亚武术协会(T.W.A.)建立安全的公司.
坦桑尼亚武术协会,正在完成其拥有一家安全公司的计划,该公司将是现代的,虽然不总是能够为其成员提供就业,
党的秘书Gola卡皮比兄弟,
说过,
经过多年的梦想拥有一家安全公司,最终这些梦想倾向于很快完成,
我只是告诉我们的成员不断增长的发展需要努力和耐心,我们没有那么多人认为眼睛闪烁
这计划了很长时间,许多人放弃了,但今天我请求忠实的成长这个事情可能,我们要求与所有的爱和一个心灵的合作,这真的太晚了,但所有这是由于缺乏资金按时完成项目我们想要的,
如果有一个公司或个人可以给我们任何帮助,欢迎,从现在起,
我也借此机会感谢所有可以以某种方式帮助我们的人,我们要求您给予我们支持可以尽可能增加。
TANZANIA WUSHU ASSOCIATION
Box: 90374.
Dar es salaam,Tanzania.
Fax: 0222170351
Tel: 0222170351
E-mail: tanzaniawushu@yahoo.com
No comments:
Post a Comment