TAFSIRI YA KISWAHIRI YA NENO ''QI'' KWA UFUPI.
Siku chache zilizo pita tulitoa maelezo ya neno ''qi powe'', na maana yake, kwa lugha ya kingereza, baada ya kupekea maombi mengi, ya kuweka lugha ya kiswahili,
tumeona tuwaletee japo kwa kifupi.
Endelea......
Chi ni neno la kichina lenye maana ya ya uhai,nguvu ya maisha au pumzi ya uhai.Pia hujulikana kama ki,qi au prana.Tafsir ya chi:"Nadharia ya dawa za asili za kichina hudai kwamba mwili una mfumo wa asili wa qi unaohusiana nao(mwili) ambao huzunguka katika njia ziitwazo meridians kwa kingereza.
By
Master Mfaume
No comments:
Post a Comment