Hapa akijaribu kuonyesha juhudi zake kwenu wadau wa michezo, katika kuhakikisha anakua fiti mudawote, ili akipata nafasi ya kuwakilisha nchi afanye kile ambacho watanzania wanakikosa katika michezo mingine.
Akiongea kwa hisia na msisitizo unao dhihirisha hamu kubwa ya kutaka kutimiza ndoto anazoziota kilasiku za kuifanya Tanzania kua maarufu duniani kote kupitia mchezo wa Wushu,
Hii ni sehemu ya kwanza katika mfululizo wa mafunzo ya Wushu kupitia blog na chanel ya youtube ya Master Mfaume, katika video hii utajifunza maana ya wushu na faida zake maana na umuhimu wake katika jamii.