Haya ni baadhi ya mazoezi muhimu unayopaswa kuyafanya kila siku,
ili kupata matokeo bora nilazima ufanye mazoezi katika mpangilio unao endana na kile unacho kihitaji ndani ya mwili wako,
na huu ndiyo mfumo bora utakao kufanya uwe bora na ubaki bora.
Jifunze Orijino Kungfu na Master Mfaume,
kutoka Shaolin Temple China.
Kwa msaada zadi jiunge nasi tupo Kinondoni DSM.
wasiliana nasi kwa 0788984028 au 0655326142
barua pepe, mfaumetz@gmail.com
www.shaolintempletz.blogspot.com
Ili usipitwe na video za mafunzo tafadhali usisahau ku SUBSCRIBE chaneli yetu,
Like Facebook page tu ya Shaolin Temple Tanzania.
No comments:
Post a Comment