Maana ya "Kung Fu"
Katika ulimwengu wa Magharibi, neno "kung fu" lina fahamika katika kutambulisha sanaa za mapigano ya Kichina,kama vile sinema, nguvu za ziada, falsafa na methali.
Ndani ya sanaa hizo tutaona maana ya asili ya neno kung fu, chochote ufanyacho japo kwa uchache.
Neno Kung 功 (Gong)
linamaanisha mafanikio au sifa,
Fu 夫 (fu)
ina tafsirika kama kazi ngumu au juhudi.
Tunapo yaunganisha maneno haya mawili tunapata neno linalo someka,
KUNG FU, 功夫 (Gong fu)
maneno haya yanaweza kutupatia tafsiri hii
"kufanya kazi kwa bidii ili kufikia mafanikio"
No comments:
Post a Comment