Our Clubs.

...

Tuesday, February 21, 2017

Wa Afrika Wakijifunza Martial Arts na Tiba za Kichina ndani ya Shaolin Temple:非洲修士学习武术和医学在中国的少林寺: African Monks Study Martial Arts and Medicine at China’s Shaolin Temple:

Hakuna asiejua kama hivisasa China kuna wanafunzi wa kigeni wanao kuja kujifunza Kung Fu,Lugha ya kichina na dawa za Kichina.

 

Ni jambo ambalo halikuwahi kushuhudiwa kabla,Makala hii inaandika kuhusu kundi la wa Afrika walio kuja kusoma na kujifunza Kung Fu ndani ya Shaolin Temple.


 Tazama kwa macho yako picha 9  hapo chini,zikionyesha juhudi zao katika mafunzo,ni dhahiri kwamba hawakuwa na mchezo hata kidogo, wachina wengi walishangazwa na kufurahishwa na uwezo walio nao pamoja na juhudi walizo nazo vijana hao,wakiwemo wa Tanzania wanne ambao ndio walikuwa vinara wa mataifa yote ya Afrika yaliyokuwepo katika chuo hiko kwa wakati huo,Saidi Mfaume ni mmoja wapo katika vijana hao ambaye alizungumzia siri ya mafanikio yao huko Shaolin Temple,


"tulikuwa na juhudi na nguvu mara tatu ya kawaida yetu,hasa tunapo zingatia ukubwa wa fursa ambayo tiliipata,ukiitaja Shaolin Temple umetaja kitu ambacho huwezi kukipata popote duniani katika uhalisia wake tumefika sehemu ambayo ni kitovu na muhimili wa Shaolin Kung fu,ni chuo pekee chenye dhamana ya ubora katika Kung fu mwalimu anayetoka Shaolin Temple anadhamana kubwa kwa serekali ya China na dunia kwa ujumla,hivyo tulikuwa tayari kufa au kupona ili tu kufikia ubora utakao endana na mafunzo tunayo yapata, na ndio maana hadi sasa bado tupo katika ubora wetu,daima sitokuja kumsahau mwalimu wetu,Yan Bo Shifu.
                Mungu amuongoze.

Hakika ilikua ni kozi ya kihistoria na bado haijavunjwa rekodi yao,japo yalishafuata makundi mawili baada yao.

 Ikumbukwe pia  ndugu hawa wa Afrika ni  wanafunzi halali wa Shaolin Temple ni kwa bidii zao katika mafunzo si tu katika Kung Fu,lakini pia katika "acupuncture" na massage.

 Lakini pia ujio wao nchini China utaendelea kutukumbusha mengi miongoni mwa tamaduni na mila za Shaolin Temple, na ni matokeo ya umaarufu wa sifa za Temple, ili kueneza tamaduni duniani kote. Hii inajieleza ni kwa nini Waafrika wengi hufanya mazoezi ya Shaolin Kung fu.

 Baada ya mafunzo nchini China,  Kwa mujibu wa ripoti ya Shaolin temple hivi karibuni,imewataka wanafunzi wao kukuza na kusambaza sanaa na tamaduni za Shaolin katika nchi zao pamoja na lugha ya Kichina. Shaolin Temple Henan ilipokea 'wanafunzi wa kigeni' 20 kutoka nchi 5 za Afrika ikiwemo Tanzania,

 kusoma sanaa ya kijeshi, acupuncture na massage, Lugha ya Kichina, kuandika Kichina. Kozi hizi zinahitaji muda wa miezi mitatu hadi sita kwa uchache,kwa wanafunzi wa kigeni,na mwaka mmoja hadi mitano kwa kozi ndefu.

Ni kwa mujibu wa ripoti ya Shaolin Temple.

African Buddhist Monks at the Shaolin Temple
African  Monks at the Shaolin Temple

It is not unknown in China today for foreign students to come and study Chinese medicine and Chinese martial arts. This article records a group of African Buddhist monks as they study and train in martial arts at the Shaolin Temple. To Chinese eyes, the 8 photographs of their training efforts might seem unusual – funny even – as we are not used to seeing Shaolin monks from other parts of the world! However, it must be remembered that these African brothers are legitimate Shaolin Temple disciples and are diligently training not only in martial arts, but also in acupuncture and massage. Their presence in China serves to remind us of the unique Shaolin Temple tradition, and is the consequence of the fame of this temple’s reputation spreading throughout the world. Not only this, but China now exports martial arts equipment and training DVD’s, and Chinese teachers regularly teach abroad. This explains why many Africans practice Shaolin martial arts. After training in China, these foreign monks return to their homelands and further promote Chinese Shaolin culture. According to a recent report, the Shaolin Temple in Henan currently has 20 ‘foreign students’ from 5 countries in Africa studying martial arts, acupuncture and message, Chinese conversation, Chinese writing, and Buddhist ritual courses. These foreign monks, according to reports, must spend a minimum of three months training at the Shaolin Temple.

Disciplined Foreign Monks at Shaolin
Disciplined Foreign Monks at Shaolin

African Monks Serious in Their Practice
African Monks Serious in Their Practice
Foreign Disciples Learn Correct Martial Arts
Foreign Disciples Learn Correct Martial Arts
African Men Practicing Martial Arts
African Men Practicing Martial Arts
A Powerful African Monk
A Powerful African Monk
African Monks Pray Before Eating
African Monks Pray Before Eating
African Monks Learn the Chinese Language
African Monks Learn the Chinese Language
非洲修士学习武术和医学在中国的少林寺

 非洲和尚练中国功夫搞笑图片,洋弟子在少林寺练功夫学针灸按摩
非洲和尚练中国功夫搞笑图片,洋弟子在少林寺练功夫学针灸按摩。虽然这些黑人兄弟们练得有板有眼、认认真真,但是看起来还是比较搞笑。少林功夫现在算是中国比较有特色的对外输出产品了,这么多非洲和尚练中国功夫。此外,洋弟子在少林寺练功夫学针灸按摩,回到非洲之后还可以推广中医。
据介绍,最近来自非洲5国20名“洋弟子”在河南嵩山少林寺练功夫,此外还要学习针灸按摩,汉字会话、汉字书写、佛教礼仪等课程。据介绍,这些非洲和尚需要在少林寺完成为期3个月的修行生活。
非洲和尚练中国功夫搞笑图片,一共有8张。
洋弟子在少林寺练功夫,非洲哥们练功夫有板有眼。
非洲和尚练中国功夫,非洲兄弟练功夫非常认真。
洋弟子在少林寺学功夫,出右拳。
非洲人在少林寺练中国功夫。
非洲和尚练中国功夫搞笑图片,这哥们很厉害
非洲和尚在少林寺吃饭前双手合十拜佛。
非洲和尚在少林寺学写汉字,此外还要学针灸按摩。

No comments:

Post a Comment