Our Clubs.

...

Monday, April 23, 2018

Mafia Shaolin Kungfu Club.



Vijana wa Klabu ya  Kungfu ya Mafia wakiwa katika mafunzo,

mwanzoni mwa mwaka jana 2017. 

Saturday, April 21, 2018

Jionee Mtihani wa Kung Fu unavyokua,.



Mafia shaolin Kungfu Club.

Mnamo tarehe 7/4/2018, iliandaa mtihani wa kwanza katika Klabu  hiyo ya kungfu iliopo wilaya  ya Mafia mkoa wa Pwani.

JIONEE MAMBO YALIVYOKUA...

Monday, April 16, 2018

Mafunzo ya Wushu sehemu ya pili.(wushu training)



Tunaendelea na darasa letu,

na huu ni muendelezo wa somoletu la Wushu.

Baada ya kuangalia Taolu leo tunaangalia Sanda.

Usikose kufatilia sehemu ya tatu katika muendelezo wa mafunzo ya Wushu,

NAKUKUMBUSHA KU SUBSCRIBE ILI UWE WAKWANZA KUPATA VIDEO MPYA.

Sunday, April 15, 2018

Raisi T.W.A. avunja ukimya anena mengi usiyoyajua ndani ya Wushu ya Tan...



Kutana naMwarami Mitete, ni raisi wa  chama cha Wushu Tanzania,

Tanzania Wushu Association, (TWA).
Hapa akijaribu kukumbuka yaliyo mkuta katika harakati zake kutoka mchezaji mwalimu na hadi raisi wa chama.
 na yanayo endelea miongoni mwa usiyo yajua kuhusu Wushu ya Tanzania.....

Monday, March 26, 2018

Kisimbo Mjenga: ''Nataka kua mwana Shaolin mkubwa hapa Tanzania''



Huenda ikawa si mara ya kwanza kulisikia jina la Kisimbo,

lakini naamini leo itakua ni mara ya kwanza kumsikia Kisimbo R. Mjenga, akielezea hisia na malengo yake katika Kung fu......

Saturday, March 24, 2018

Saidi Upinde katika ubora wake.



Hapa akijaribu kuonyesha juhudi zake kwenu wadau wa michezo, katika kuhakikisha anakua fiti mudawote, ili akipata nafasi ya kuwakilisha nchi afanye kile ambacho watanzania wanakikosa katika michezo mingine.

Tuesday, March 20, 2018

Saidi Upinde,amuomba waziri kusapoti juhudi zake za kulitangaza taifa.



Akiongea kwa hisia na msisitizo unao dhihirisha hamu kubwa ya kutaka kutimiza ndoto anazoziota kilasiku za kuifanya Tanzania kua maarufu duniani kote kupitia mchezo wa Wushu,

endapo mambo haya yakizingatiwa....

Sunday, March 18, 2018

Mafunzo ya Wushu, sehemu ya kwanza.(Wushu training)



Hii ni sehemu ya kwanza katika mfululizo wa mafunzo ya Wushu kupitia blog na chanel ya youtube ya Master Mfaume, katika video hii utajifunza maana ya wushu na faida zake maana na umuhimu wake katika jamii.

hakikisha upwitwi na somo kwa ku subscribe,

Saturday, March 3, 2018

Basic Wushu Kung fu Exerciser....



Haya ni baadhi ya mazoezi muhimu unayopaswa kuyafanya kila siku,

ili kupata matokeo bora nilazima ufanye mazoezi katika mpangilio unao endana na kile unacho kihitaji ndani ya mwili wako,
na huu ndiyo mfumo bora utakao kufanya uwe  bora na ubaki bora.

Jifunze Orijino Kungfu  na Master Mfaume,
kutoka Shaolin Temple China.
Kwa msaada zadi jiunge nasi tupo Kinondoni DSM.
wasiliana nasi kwa 0788984028 au 0655326142
barua pepe, mfaumetz@gmail.com
www.shaolintempletz.blogspot.com

Ili usipitwe na video za mafunzo tafadhali usisahau ku SUBSCRIBE chaneli yetu,
 Like Facebook page tu ya Shaolin Temple Tanzania.
 

Tuesday, February 27, 2018

Wushu ni nini...?

Wushu,ni ambayo pia  inajulikana kama kung-fu, kwa pamoja  inaunda vitendo vya sanaa za mapigano ambayo ilianzishwa na kujengwa nchini China, na wushu ni chemchem nzuri ya vitendo vyote vya mapigano vya Asia. Zaidi ya historia yake ndefu, wushu imeunda mitindo tofauti na mifumo, kila mmoja akijumuisha mbinu zake mwenyewe, mbinu, kanuni na mbinu, pamoja na matumizi ya silaha mbalimbali za jadi. Mitindo tofauti ambayo imeibuka inazingatia mambo mengi ya kupambana, lakini muhimu zaidi wameingiza falsafa maarufu na maadili ya watu wa China zaidi ya miaka 5000 iliyopita ya maendeleo. Kwa hiyo, wushu   imeendelea kuwa zaidi ya mfumo rahisi wa mashambulizi na ulinzi na imekuwa njia ya kukuza mwili, akili na roho kwa njia nzuri ambayo ni ya manufaa kwa wote wanaoifanya. 
Tabia "Wu" katika wushu inajumuisha maana mbili kwa Kichina, yaani "Zhi" ambayo ina maana "kuacha" na "Ge" ambayo ni silaha ya kale ya vita. Na hivyo asili ya tabia ya Wu ni kuacha migogoro na kukuza amani. Mazoezi ya wushu si tu kujenga mwili wenye nguvu,na wenye afya, lakini pia akili nzuri na maadili mema kwa kiwango cha juu, kama mazoezi yake yanalenga katika "Wu De" au maadili ya kijeshi. Leo wushu imeendelea katika aina mbalimbali za mazoezi, kila mmoja na lengo lake mwenyewe na malengo yake. Mazoezi mengine yanaonyesha afya na ustawi kama lengo lao la msingi, wakati wengine kusisitiza utamaduni wa jadi na ujuzi kutoka kwa sanaa. Hivi karibuni, wushu imeendelea kuwa michezo ya ushindani duniani, ambayo inafanywa na kufurahia na maelfu ya watu ulimwenguni kote kutokana na maudhui yake ya kipekee na yenye kusisimua. Michezo ya wushu imewekwa katika makundi mawili makuu, yaani Taolu (Mashindano ya Routines) na Sanda (Mashindano huru ya Kupambana).





Tuesday, February 13, 2018

Wushu performance, Tanzania.



Happy Chinese new year 2018.

Dar es salaam, Tanzania, at the Julius Nyerere International convention Center..

Monday, February 12, 2018

Wushu SanDa, Rwanda vs Tanzania.



The  4th International Wushu  Competition Tanzania.

 ‎September ‎16 - 17, ‎2017,
Indoor stadium, Dar es salaam Tanzania.

Sunday, February 4, 2018

Kung fu classes in Tanzania...



Join us...

Dar es salaam.
Dodoma.
Tanga.
Singida.
Lindi.
Mbeya.
More info: +255788984028 / +255655326142
E-mail: mfaumetz@gmail.com
Blog: www.shaolintempletz.blogspot.com

DON'T  FORGET  TO  SUBSCRIBE......