Our Clubs.

...

Wednesday, March 1, 2017

YASSIN RAJABU BINGWA WA WUSHU (TAOLU) TANZANIA: 亚辛回历冠军武术(套路)坦桑尼亚:YASSIN RAJABU, THE CHAMPION OF WUSHU (TAOLU) TANZANIA.

                    Yassin Rajabu, bingwa mpya wa Wushu Tanzania kwa mwaka  2016 - 2017.

Chama cha Wushu Tanzania,kilisajiliwa mwaka 2009, na mwaka 2011 kilifanikiwa kuandaa mashindano ya kwanza ya taifa, ambayo yalifanyika katika ufukwe wa Coco Beach jijini Dar es salaam.

Hii ni mara ya kwanza kwa Yassin kutwaa taji hilo katika mashindano hayo,ambayo hufanyika mara moja kwa mwaka, Yassin anakua mchezaji wa pili kushinda nafasi hiyo, baada ya Yusuph Upinde, ambae aliibuka champion wa mashindano ya kwanza,na ya pili,na hadi kufikia mwaka jana,alipo poteza tajihilo, ambalo lilikua mikononi mwake,tangu 2011 hadi 2016  kwa muda wa miaka mitano, bila kupatikana mshindi mwengine yoyote, lakini kama wasemavyo wahenga kila lenye mwanzo halikosi mwisho, na hatimae mwaka jana alishindwa kutetea taji lake,na Yassin ambae pia ni sehemu ya matunda ya kazi zake.

Yassin Rajabu alitwaa taji hilo licha ya kupata upinzani mkubwa toka kwa Saidi Upinde, ambae ni mdogo wa Yusuph Upinde.

Yassin, alianza mafunzo ya Wushu mwaka 2007,katika chuo cha Mbagala Tai Club, tawi la Mbagala Zakhem,

baada ya miezi kadhaa, Master Kamanda,ambaye ni Rais wa Wushu Tanzania, aliweza kugundua kipaji cha Yassin kupitia mashindano ya kila wiki, ambayo yalikuwa yakifanyika makao makuu ya Tai Club, kwa kukutanisha matawi yote ya Dar kwa kipindihiko,Yassin, aliendelea kujipatia umaarufu,sambamba na kujizolea mataji ya ya mashindano hayo ya kila wiki.

Mwanzoni mwa mwaka 2011, nyota yake iling'ara katika anga za kimataifa, baada ya kupeperusha vyema, bendera ya Tanzania, katika mashindano ya dunia yaliyo fanyika ndani ya jiji la Ankara nchini Uturuki na kurudi na medali ya Silva ushindi wa Yassin uliiweka tanzania kwenye kumi bora, katika renki ya dunia.

Kama utamuuliza nikipi kikubwa ulich kipata kupitia Wushu?, bila shaka elimu yake ya sekondari, huwenda likawa ni jambo lakwanza katika mengi aliyo ya pata, kupitia Wushu, mbali ya kutembea katika nchi mbalimbali, za Asia,Ulaya, na Afrika, huku akijipatia umaarufu na marafiki wengi duniani kote.

Historia ya bingwa huyu inaonyesha pia alisha wahi kuwa mchezaji wa Dragon Wushu Club, akitokea Mbagala Tai Club,
kabla ya kujiunga na klabu ya Amani Shaolin Kungfu, ya Manzese, jijini Dar es slaam,
na hadi sasa bado ni mchezaji wa klabu hiyo.
  YASSIN RAJABU,WA KWANZA KUSHOTO, AKIWA KATIKAPICHA YA PAMOJA, NA                                             BAADHI YA WACHEZAJI WENZAKE, NCHINI CHINA.

      kila laheri, Mr.Yassin, lakini kumbuka,nidhamu na upendo,ndiyo msingi wa mafanikio.






Yassin Rajab, the new champion of Wushu Tanzania for the year 2016-2017.

 Tanzania Wushu Association, was registered in 2009, and 2011, was successfully organize the first national tournament, which took place on the Coco Beach in Dar es salaam.

This is the first time for Yassin won the title in the tournament, which takes place once a year, Yassin grows the second player to win the same position, after Yusuf Upinde, who emerged champion of the first race, and second, and up to last year, when he lost the tittle, which grew into his hands, from 2011 to 2016 for five years, would found the winner any other, but as they say the sages all a beginning will surely end, and finally last year was unable to defend his title, and Yassin who it is also part of the fruits of his work.


Yassin Rajabu took the title in spite of great opposition from Saidi Upinde, who is the youngest of Yusuf Upinde.

Yassin, Wushu training began in 2007, at the Mbagala Tai Club, a branch of Mbagala Zakhem,

after several months, Master Kamanda, who is President of Wushu Tanzania, he can discover talent Yassin through weekly competitions, which were held headquarters Tai Club, to pull all branches of Dar to,over the reigns Yassin, continued  to gain popularity, secure titles compatible with the tournament every week.


Early in 2011, his star sparkled on the international stage, after relaying mounted, the flag of Tanzania, at the world championships that are held in the city of Ankara in Turkey to return the medal Silva's victory Yassin was placed on ten tanzania the best in the world rank.

If you ask what is substantially what you normally get through Wushu ?, of course his secondary education, it may be the first thing got, through Wushu, off the walk in various countries, to Asia, Europe, and Africa, as he gained fame and many friends around the world.

History shows this champion has also served as player sha Dragon Wushu Club, coming from Mbagala Tai Club,
before joining the Amani Shaolin Kungfu Club, Manzese, in Dar es slaam,
and up to now it is still a player at the club.

  Yassin Rajab, ONE LEFT, AT in the picture together, and some of his teammates, IN CHINA.


      all Laheri, Mr.Yassin, but remember, discipline and love, is the foundation of successfu.


Yassin Rajab,2016 - 2017年武术坦桑尼亚新冠军。

 坦桑尼亚武术协会,2009年注册,2011年,成功地组织了第一次全国锦标赛,在达累斯萨拉姆的可可海滩举行。

这是Yassin第一次在比赛中获得冠军,每年举行一次,Yassin成长第二个球员赢得同样的位置,Yusuph Upinde后,谁出现的第一场比赛的冠军,第二,去年,当他失去了点数,他成长到他的手中,从2011年到2016年五年,将找到赢家任何其他,但因为他们说圣人一开始就肯定会结束,终于去年无法保卫他的头衔,Yassin谁也是他的工作的成果的一部分。


尽管来自Yisuph Upinde最年轻的Saidi Upinde的强烈反对,Yassin Rajabu获得了冠军。

Yassin,武术训练始于2007年,在Mbagala Tai俱乐部,Mbagala Zakhem的一个分支,

几个月后,他是坦桑尼亚武术队长的Kamanda大师,他可以通过每周比赛,发现天才亚辛,他们在总部太俱乐部,拉所有分支Dar到Yassin统治继续受欢迎,与每周的比赛兼容。


2011年初,他的明星在国际舞台上闪闪发光,在继承了坦桑尼亚国旗后,在土耳其安卡拉市举行的世界锦标赛上返回奖牌Silva的胜利Yassin被放置在十坦桑尼亚最好的世界排名。

如果你问什么基本上是你通常通过武术得到的,当然他的中学教育,它可能是第一件事,通过武术,在各个国家,走在亚洲,欧洲和非洲,当他成名和世界各地的许多朋友。

历史表明,这位冠军也曾担任玩家沙龙武术俱乐部,来自Mbagala太俱乐部,
在加入阿曼少林功夫俱乐部之前,在达累斯萨拉姆,
并且到现在它仍然是俱乐部的球员。

  Yassin Rajab,ONE LEFT,AT in the picture together,and some of his teammates,IN CHINA。


      所有拉赫里,Yassin先生,但记住,纪律和爱,是成功的基础

No comments:

Post a Comment